Mbwa na Mfupa.

Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka….pumzi ikanishuka.Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo….Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo..Nilipoona kitu mbwa alichodondosha…Nikajifunza somo kubwa sana..MBWA alidondosha *Mfupa wa nyama* …..Simple…..Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!! *Hii ni akili kubwa sana*  *_ACHA MFUPA_* KUNA MIFUPA TUMEING’ANG’ANIA 2020TUKIFANIKIWA KUWAJASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA